Categories: Popular books

Malenga Wapya

6,000 TZS

Product description

Diwani hii ya malenga wapya imekusanya mashairi 37 ambayo yana ukwasi mkubwa wa fani na maudhui na yametumia mitindo mbalimbali ya mashairi ya kiswahili. Malenga wetu hawa wapya wamejitahidi sana kuchora picha ambazo zinaakisi utamaduni wa kiswahili

Qty

Tab Article

Diwani hii ya malenga wapya imekusanya mashairi 37 ambayo yana ukwasi mkubwa wa fani na maudhui na yametumia mitindo mbalimbali ya mashairi ya kiswahili. Malenga wetu hawa wapya wamejitahidi sana kuchora picha ambazo zinaakisi utamaduni wa kiswahili na waswahili wenyewe.
Maudhui yaliyotawala katika mashairi haya ni pamoja na maswala ya ukombozi wa mwanamke, uonevu na misiba, mapenzi na demokrasia katika jamii.
Mwishoni mwa kitabu hiki kuna orodha ndefu ya maneno na maana zake ambayo bila shaka yatakuwa hazina kubwa katika ufahamu wa mashairi haya.

0 reviews for Malenga Wapya

Add a review

Your Rating