Card List Article
Makuadi wa Soko Huria ni hadithi ya Kihistoria yenye ukweli unaodhihirika leo.Inatoa taswira ya mapambano ya Watanzania katika kujipatia uhuru na amani ya kweli.Mapambano dhidi ya ukoloni na baadaye dhidi ya baadhi ya watu wao walioteka nyara uhuru w