Books by Mkuki na nyota Publishers

Showing 3 to 30 of 376 records (13 Pages)
Sort By:
text_showing_page_of_pages
Sort By:

Card List Article

This collection of speeches, in three volumes, by the President of the United Republic of Tanzania’s Third Phase Government, Benjamin William Mkapa (1995–2005), will serve primarily as reference documents to the vision of what he attemp

250,000 TZS

Card List Article

Siti binti Saad alikuwa mwanamke wa kwanza Zanzibar kusimama jukwaani na kuimba nyimbo za taarab. Katika kitabu hiki, Shaaban Robert anaelezea juu ya maisha ya umaskini na hali ya chini aliyoishi msanii huyu, katika jamii ya Zanzibar iliyokitwa na ta

6,000 TZS

Card List Article

This is a collection of poems and culmination of innovative thought, borne out of a fertile imagination, driven and motivated by a careful analysis of African life and a great concern for African literature. It presents an oblique way of looking at l

5,500 TZS

Card List Article

Je, umeshawahi kusafiri kwa kutumia ungo au fagio? Umeshapanda mgongoni mwa nguva au kutalii kwenye tumbo la nyangumi? Hivi ni baadhi tu ya visa alivyofanya Majaliwa akiwa katika safari yake kuzunguka Tanzania nzima akisaka marimba yake ya nyuzi ishi

10,000 TZS

Card List Article

Huu ni mchezo wa kumi na tisa katika mfululizo wa vitabu vya michezo ya kuigiza kutoka Tanzania Publishing House. Michezo hii, imeendelea kuburudisha na kuelimisha wasomaji wa rika zote tangu ilipochapishwa kwa mara ya kwanza. Kitabu hiki kama vingin

6,000 TZS

Card List Article

Tawasifu hii inafuatia wasifu wa Mwalimu Julius Nyerere na tawasifu ya Rais Benjamin Mkapa na kuziba pengo lililokuwa limebaki katika kumbukumbu ya awamu tatu za mwanzo za uongozi wa Tanzania huru.
Vitabu hivi vinasaidia kuweka historia sawa; vinazib

75,000 TZS

Card List Article

Tawasifu hii inafuatia wasifu wa Mwalimu Julius Nyerere na tawasifu ya Rais Benjamin Mkapa na kuziba pengo lililokuwa limebaki katika kumbukumbu ya awamu tatu za mwanzo za uongozi wa Tanzania huru.
Vitabu hivi vinasaidia kuweka historia sawa; vinazib

55,000 TZS

Card List Article

We use our eyes to see and our nose to smell. In this book, we learn about different body parts and what we use them for.

Tunatumia macho yetu kuona na pua zetu kunusa. Kwenye kitabu hiki, tunajifunza kutambua viungo vya mwili na kazi zake.

Have fu

6,000 TZS

Card List Article

Ni majira ya alasiri, kiasi cha saa tisa hivi, siku ya Alhamisi, Aprili 12, 1984. Ghafla Redio Tanzania Dar es Salaam (RTD – sasa TBC), redio ya taifa na pekee Tanzania Bara wakati ule, inakatisha matangazo ya vipindi vyake vya kawaida, na Wimbo wa

75,000 TZS