Categories: General

Rosa Mistika

14,000 TZS

Product description

Rosa Mistika—waridi lenye fumbo; uwili wa maisha. Rosa Mistika—wapo wanaomwita malaya, mzinzi mkuu, mvunja nyumba za watu; na wapo wengine wanaomwona kama msichana mwenye nafsi isiyo na hatia, msichana aliyekuwa amezingwa na kutekwa nyara na shin

Qty

Tab Article

Rosa Mistika—waridi lenye fumbo; uwili wa maisha. Rosa Mistika—wapo wanaomwita malaya, mzinzi mkuu, mvunja nyumba za watu; na wapo wengine wanaomwona kama msichana mwenye nafsi isiyo na hatia, msichana aliyekuwa amezingwa na kutekwa nyara na shinikizo hasi za mazingira, yakamghilibu bila ya kujitambua. Rosa Mistika—wachache wenye malezi makali wamemwita asherati. na kukataa katakata asisomwe kwa hofu ya kupotosha wengine;

0 reviews for Rosa Mistika

Add a review

Your Rating