Product description
Mazingira safi huleta afya bora. Utunzaji wa afya na mazingira ni muhimu katika maisha. Watoto wenye afya bora hukua vizuri. Kitabu hiki kinasisitiza usafi wa mwili na mavazi. Pia, kinasisitiza kujikinga na magonjwa, usafi wa nyumba na mazingira. Vil
..
read more
Mazingira safi huleta afya bora. Utunzaji wa afya na mazingira ni muhimu katika maisha. Watoto wenye afya bora hukua vizuri. Kitabu hiki kinasisitiza usafi wa mwili na mavazi. Pia, kinasisitiza kujikinga na magonjwa, usafi wa nyumba na mazingira. Vilevile kinafundisha namna ya kuepuka mazingira hatarishi. Aidha kitabu hiki kinaelezea namna ya kutoa huduma ya kwanza.
Mafundisho haya yatajenga tabia nzuri za afya kwa wanafunzi. Pia yatapunguza matatizo ya kiafya katika maisha. Vilevile, mwanafunzi atajenga stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu.
read less