Categories: Readers/Story Books

Aliyeonja Pepo

6,000 TZS

Product description

Juma Hamisi, Muislam safi kutoka Bagamoyo anafariki, na roho yake inaenda Mbinguni. Baadaye inafahamika kuwa hili ni kosa kubwa lililofanywa na Ziraili, Malaika mtoa roho. John Houghton wa Uingereza ndiye aliyestahili kutolewa roho siku hiyo. Ili kut

Qty

Tab Article

Juma Hamisi, Muislam safi kutoka Bagamoyo anafariki, na roho yake inaenda Mbinguni. Baadaye inafahamika kuwa hili ni kosa kubwa lililofanywa na Ziraili, Malaika mtoa roho. John Houghton wa Uingereza ndiye aliyestahili kutolewa roho siku hiyo. Ili kutatua tatizo hili, roho ya Juma Hamisi inabidi irudishwe duniani. Baada ya majadiliano ya muda na ili kuficha kosa hili lisigunduliwe, Ziraili na wenzake wanakubaliana kuirudisha roho ya Juma katika mwili mwingine, hata kama ni mwili wa paka.

0 reviews for Aliyeonja Pepo

Add a review

Your Rating