Free Support 24/7
+255 743 952 935
Kamusi ya Kiswahili Sanifu ina historia ndefu. Toleo la kwanza lilichapishwa mwaka 1981. Toleo hili la Nne limeboreshwa na kupangwa upya ili kumwezesha mtumiaji kupata taarifa anayoitafuta kwa urahisi. Toleo hili lina:
• zaidi ya vidahizo vipya 1
Publisher: Oxford University Press (Tanzania)
Kamusi Kuu ya Kiswahili (KKK) (Toleo la 2) ni kamusi iliyoandika historia mpya na ya pekee katika ulimwengu wa matumizi ya lugha ya Kiswahili kwa kuwa ya kwanza kueleza maana na miundo ya maneno ya Kiswahili, kwa ukamilifu na uamilifu wa kila neno ka
Publisher: Longhorn Publishers Ltd
Kamusi ya Karne ya 21(Toleo la 4) ni kamusi ya Kiswahili yenye uketo zaidi katika karne hii. Imetungwa kwa ustadi wa hali ya juu na wanaleksikografia wenye utaalamu na uzoefu wa uundaji wa kamusi. Ni kamusi inayojivunia upekee unaodhihirisha jinsi lu
Publisher: Longhorn Publishers Ltd