Product description
Baba anafanya kazi Dar es Salaam.
Sisi tunaishi na mama hapa kijijini Farka.
Ni mwendo wa saa chache kutoka mji wa Kondoa.
Leo Mama amepokea barua.Imetoka kwa Baba.Anasema kwa furaha.Baba anataka twende Dar es salaam.
..
read more