Product description
Kitabu hiki kinalenga kukuendeleza katika kujenga stadi za kuhesabu, kuandika na kusoma huku ukijenga msingi wa Hisabati. Aidha, kitabu hiki kina sura kumi na tatu zilizoandaliwa ili kukidhi mahitaji ya muhtasari wa somo la Hisabati Darasa la tatu.
..
read more

Sura zilizoainishwa katika kitabu hiki ni pamoja na namba nzima, namba za kirumi, mpangilio wa namba, kujumlisha namba, kutoa namba, kuzidisha namba, kugawanya namba, sehemu, wakati, fedha ya Tanzania, vipimo vya metriki, maumbo na takwimu. Kwa kujifunza sura hizi, utaweza kujenga stadi zitakazokuwezesha kubaini na kutatua matatizo katika mazingira yako kulingana na umri ulionao. Hakikisha unafanya shughuli na mazoezi yote katika kitabu hiki ili uweze kupata umahiri uliokusudiwa. Shirikiana na wenzako katika kujifunza.
read less