Categories: Popular books

Hisabati Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la 4

  • ISBN: 9789976617245
  • Number of pages: 189 pages
  • Product format: Paperback
  • Publisher: TIE
  • Year published: 2020
  • Availability: In stock
9,500 TZS

Product description

Kitabu hiki kinalenga kukuendeleza katika kujenga stadi za kuhesabu, kuandika na kusoma huku ukijenga msingi wa Hisabati. Aidha, kitabu hiki kina sura kumi na tatu zilizoandaliwa ili kukidhi mahitaji ya muhtasari wa somo la Hisabati Darasa la Nne. Su

Qty

Tab Article

Kitabu hiki kinalenga kukuendeleza katika kujenga stadi za kuhesabu, kuandika na kusoma huku ukijenga msingi wa Hisabati. Aidha, kitabu hiki kina sura kumi na tatu zilizoandaliwa ili kukidhi mahitaji ya muhtasari wa somo la Hisabati Darasa la Nne. Sura zilizoainishwa katika kitabu hiki ni pamoja na namba nzima, namba za kirumi, mpangilio wa namba, kujumlisha namba, kutoa namba, kuzidisha namba, kugawanya namba, sehemu, wakati, fedha ya Tanzania, vipimo vya metriki, maumbo na takwimu. Kwa kujifunza sura hizi, utaweza kujenga stadi zitakazokuwezesha kubaini na kutatua matatizo katika mazingira yako kulingana na umri ulionao.
Hakikisha unafanya shughuli na mazoezi yote katika kitabu hiki ili uweze kupata umahiri uliokusudiwa. Shirikiana na wenzako katika kujifunza.

0 reviews for Hisabati Kitabu Cha Mwanafunzi Darasa la 4

Add a review

Your Rating