Tab Article
A. Outline of the book
The book, written in Kiswahili, has the following 8 chapters:
1. Mmea na mahitaji ya kimazingira.
2. Utayarishaji wa shamba, uchimbaji wa Mashimo, uchaguzi wa mbegu Vikonyo na upandaji.
3. Mambo ya kuzingatia katika utunzaji wa shamba.
4. Udhibiti wa wadudu na wanyama.
5. Udhibiti wa magonjwa.
6. Uokotaji, uteuzi wa korosho na hifadhi.
7. Kalenda ya kilimo bora cha mikorosho.
8. Bodi ya Korosho Tanzania.
Brief Summary
The book is about the Modern husbandry of Gashewnuts.
B. Maelezo mafupi ya kitabu:
Korosho ni moja ya mazao muhimu ya biashara na chakula. Mikoa inayolistawisha kwa wingi ni Mtwara, Lindi na Pwani. Pia, hustawi Pemba na Unguja. Soko la korosho ni kubwa nchini na katika nchi za nje. Tatizo ni kuwa uzalishaji uko chini ya mahitaji ya soko. Uzalishaji kwa eka au hekta na kwa mti mmoja uko chini. Hii inatokana na wakulima wengi kutojua na kutozingatia kanuni bora za kilimo cha zao hili. Aidha, jitihada za kufufua na kuboresha mashamba ya mikorosho haziridhishi.
Kitabu hiki ni jitihada ya kueleza kanuni bora hizo kama mchango wa mwandishi katika kuleta mapinduzi ya kilimo cha zao hili. Hii ni njia mojawapo ya kutekeleza Kilimo Kwanza katika Mikoa inayostawisha mikorosho.