Categories: Ufugaji

Kilimo Bora Cha Maharage

10,000 TZS

Product description

A. Outline of the book
This book written in Kiswahili, has 13 chapters:
1. Historia ya kuenea kwa maharage katika Afrika.
2. Umuhimu na faida za maharage.
3. Sehemu kuu za mmea wa maharage.
4. Aina kuu za maharage.
5. Mambo ya kuchunguza mahali

Qty

Tab Article

A. Outline of the book
This book written in Kiswahili, has 13 chapters:
1. Historia ya kuenea kwa maharage katika Afrika.
2. Umuhimu na faida za maharage.
3. Sehemu kuu za mmea wa maharage.
4. Aina kuu za maharage.
5. Mambo ya kuchunguza mahali pa kupanda maharage.
6. Upandaji wa maharage.
7. Mbolea na umwagiliaji maji.
8. Magugu katika shamba la maharage.
9. Wadudu waharibifu wa maharage.
10. Magonjwa ya maharage.
11. Uvunaji na utayarishaji wa mavuno.
12. Kuhifadhi mavuno.
13. Mbadilisho wa mavuno shambani.

B. Maelezo mafupi ya kitabu
Kilimo Bora cha Maharage ni kitabu kinachoeleza asili, historia, umuhimu wake, sehemu kuu za mmea, aina na jinsi ya kulistawisha kisasa, ili kuongeza mavuno kutoka magunia mawili kwa hekta hadi zaidi ya magunia kumi na moja kwa hekta.

0 reviews for Kilimo Bora Cha Maharage

Add a review

Your Rating