Tab Article
YALIYOMO KATIKA KITABU HIKI:
Zaidi ya Maswali 4000 ya masomo saba yanayofundishwa Shule za Msingi (Hisabati, Sayansi na teknolojia, English, Kiswahili, Maarifa ya Jamii na Stadi za Kazi pamoja na Elimu ya Uraia na Maadili) kutoka katika mitihani ya Taifa Darasa la Saba ya mwaka 2006 hadi 2020 iliyobadilishwa kuendana na muhtasari na fomati mpya ya mwaka 2021.
Takribani Vielelezo 20 vya rangi vinavyoonesha muundo na sehemu za ogani za mwili kama vile moyo, sikio, jicho, ngozi, jino, mifumo mbalimbali ya mwili, ramani ya Tanzania inayoonesha mikoa mipya na michoro ya kihistoria yenye maelezo kuhusu zama za mawe na mabadiliko ya mwanadamu. Zaidi ya Kanuni 100 za Hisabati pamoja na mifano inayoelekeza namna ya kuzitumia.