Categories: Plays, short stories and poetry

Joka la Mdimu

6,000 TZS

Product description

Tino alistakimu Kiungani Sega, nje kidogo ya jiji la Mindule. Alibangaiza kwa kuvuta kwama. Alikuwa na mke na watoto watatu. Mtoto wake mkubwa, Cheche (mvulana wa miaka 12) ghafla alivunjika kiuno katika michezo maalumu ya kusherehekea uhuru wa nchi .. read more

Qty

0 reviews for Joka la Mdimu

Add a review

Your Rating