Categories: Popular books

Kiswahili shule za sekondari Kidato cha nne

11,000 TZS

Product description

Kiswahili shule za sekondari, kidato cha nne kimeandaliwa kwa mujibu wa muhtasari mpya wa mwaka 2005 wa somo la kiswahili kwa shule z sekondari, Tanzania. Kitabu hili kimezingatia sana mahitaji ya wanafunzi darasani na ya taifa kwa ujumla
Katika kit

Qty

Tab Article

Kiswahili shule za sekondari, kidato cha nne kimeandaliwa kwa mujibu wa muhtasari mpya wa mwaka 2005 wa somo la kiswahili kwa shule z sekondari, Tanzania. Kitabu hili kimezingatia sana mahitaji ya wanafunzi darasani na ya taifa kwa ujumla
Katika kitabu hiki, wanafunzi watapata nafasi ya kuzielewa kwa kina mada zote za lugha ya kiswahili kwa kidato hiki ambazo ni:
1. Mawasiliano
2. Aina za maneno.
3. Fasihi kwa ujumla
4. Fasihi simulizi
5. Usimulizi
6. Uandishi wa insha
7. Uandishi wa barua
8. Ufahamu

0 reviews for Kiswahili shule za sekondari Kidato cha nne

Add a review

Your Rating