Categories: Primary (CBC) Primary School

Kiswahili Kwa Vitendo Kitabu cha 3

  • ISBN: 9789987871247
  • Product format: Paperback
  • Author: Ape network
  • Publisher: APE Network
  • Year published: 2024
  • Availability: Out of stock
9,000 TZS

Product description

Kitabu hiki kinafundisha somo la Kiswahili kulingana na Muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 3 wa mwaka 2016. Uandaaji wa kitabu hiki umezingatia misingi na vigezo vya uandishi bora na umelenga kumhamasisha mwanafunzi kupenda kujifunza zai

Qty

Tab Article

Kitabu hiki kinafundisha somo la Kiswahili kulingana na Muhtasari mpya wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 3 wa mwaka 2016. Uandaaji wa kitabu hiki umezingatia misingi na vigezo vya uandishi bora na umelenga kumhamasisha mwanafunzi kupenda kujifunza zaidi. Kitabu hiki kina hadithi, midahalo, risala na mazoezi mengi ambavyo kwa pamoja vinampa mwanafunzi fursa ya kujifunza na kujenga umahiri katika lugha ya kiswahili. Vipengele vinavyofundishwa katika kitabu hiki ni pamoja na Kusoma, Kuandika, Sarufi, Misamiati, Matumizi ya Kamusi, Hadithi fupi, Vitendawili na Methali.
Tuna uhakika kuwa kitabu hiki kitamjengea mwanafunzi uwezo na kumpa uwanja sahihi wa kujifunza somo la Kiswahili kwa vitendo.

0 reviews for Kiswahili Kwa Vitendo Kitabu cha 3

Add a review

Your Rating