Product description
Kitabu hiki kinalenqu kukusaidia kukuza umahiri wa stadi za uchunguzi, ugunduzi, udadisi, ubunifu na utumiaji wa taarifa za kisayansi na kiteknolojic.
Aidha, kitabu hiki kina sura kumi na moja zilizoandaliwa Hi kukidhi mahitaji ya muhtasari wa somo.
..
read more
Kitabu hiki kinalenqu kukusaidia kukuza umahiri wa stadi za uchunguzi, ugunduzi, udadisi, ubunifu na utumiaji wa taarifa za kisayansi na kiteknolojic.
Aidha, kitabu hiki kina sura kumi na moja zilizoandaliwa Hi kukidhi mahitaji ya muhtasari wa somo. Sura hizo ni mazingira, nishati, maada, njia za mawasiliano, vifaa vya kurahisisha kazi, vipimo, usafi wa mwili na mavazi, mlo kamili, mfumo wa mmeng'enyo wa chukulu, njia za maambukizi ya Virusi vya Ukimwi na huduma ya kwanza.
Kitabu hiki kinaetezea maudhui kwa njia ya habari, picha na kazi za vitendo. Unatakiwa kuzingatia maudhui hayo iU uweze kujifunza na kujenga umahiri uUokusudiwa.
read less