Categories: Leadership and Administration

Silaha 100 za Kiongozi

10,000 TZS

Product description

Kiongozi ni mtu yeyote, mwanamke au mwanaume, mwenye madaraka au mamlaka juu ya mtu mmoja au watu wengi. Maana nyingine ya Kiongozi ni mtu aliyepewa jukumu la kuongoza mtu mmoja au watu wengi. Mtu mmoja huyo anaweza akawa mwanandoa mwenzie au mtu mmo

Qty

Tab Article

Kiongozi ni mtu yeyote, mwanamke au mwanaume, mwenye madaraka au mamlaka juu ya mtu mmoja au watu wengi. Maana nyingine ya Kiongozi ni mtu aliyepewa jukumu la kuongoza mtu mmoja au watu wengi. Mtu mmoja huyo anaweza akawa mwanandoa mwenzie au mtu mmoja mwingine ambaye ana ushirika naye. “Watu wengi” wanaweza kuanzia wanafamilia yake hadi taifa zima. Kwa upande mwingine, uongozi ni mamlaka ya kuongoza mtu mmoja au watu wengi kwa lengo maalumu.
Lengo hilo linaweza kuwa ni la maendeleo au ukombozi wa aina fulani kwa mtu au watu hao.

0 reviews for Silaha 100 za Kiongozi

Add a review

Your Rating