Books by Tanzania Educational Publishers Ltd

Showing 1 to 18 of 18 records (1 Pages)
Sort By:
text_showing_page_of_pages
Sort By:

Card List Article

Brief summary:
The book, written in Kiswahili, has the following 6 chapters:
1. Ajira na Mamlaka ya Hakimu
2. Wajibu wa Hakimu
3. Malalamiko dhidi ya mienendo ya Mahakimu
4. Maboresho ya utoaji huduma katika Mahakama
5. Wajibu wa serikali na Ja

6,000 TZS

Card List Article

Kama jina la kitabu lilivyo, mwandishi anaeleza kwa ufasaha kwa kutumia Kiswahili Sanifu, Utaratibu wa Kufungua Shauri linalohusu Mgogoro wa Ardhi katika Baraza la Ardhi la Kijiji, Baraza la Ardhi la Kata, Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya, Mahamak

15,000 TZS

Card List Article

Ufugaji bora wa Kuku ni kitabu kizuri ambacho kimetayarishwa kwa makini kwa ajili ya watu ambao tayari wanafuga kuku wa kienyeji na kuku wa kigeni (yaani, kuku chotara) na wale ambao wangependa kuanza ufugaji wa kisasa wa kuku. Ufugaji wa kuku ni shu

15,000 TZS

Card List Article

Uboreshaji wa Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji ni kazi inayohitaji Maarifa na Juhudi ili kupata mazao mengi na yaliyo bora. Wanunuzi hupenda kuku bora, mayai bora na nyama bora ambayo hupatikana kutokana na juhudi ya mfugaji kuweza kuwatunza kuku wake ipa

10,000 TZS

Card List Article

Magonjwa ndicho chanzo kikuu cha vifo vya mifugo na umaskini wa wafugaji. Maelfu ya mifugo hufa kila mwaka kutokana na magonjwa. Bila kuugua, mifugo haiwezi kufa .Dhibiti magonjwa ya mifugo ili kuongeza uzalishaji wa maziwa, nyama, mayai, ngozi n.k.

10,000 TZS

Card List Article

Kitabu kina maswali 63 na majibu yake, yakiwa katika sura sita zifuatazo:
1. Ajira za Mamlaka ya Hakimu
2. Wajibu wa Hakimu
3. Malalamiko dhidi ya Mienendo ya Mahakimu
4. Maboresho ya U

9,500 TZS

Card List Article

Jifunze Kustawisha MIMEA YA MATUNDA ni kitabu kinachoelezea Misingi Mikuu na Namna ya kustawisha aina kuu za Mimea ya Matunda. Tunda ni zao la mmea linalohifadhi mbegu ambalo hutokana na ua. Baadhi ya aina za matunda ni chenza, chungwa, embe, fenesi,

10,000 TZS

Card List Article

Kiongozi ni mtu yeyote, mwanamke au mwanaume, mwenye madaraka au mamlaka juu ya mtu mmoja au watu wengi. Maana nyingine ya Kiongozi ni mtu aliyepewa jukumu la kuongoza mtu mmoja au watu wengi. Mtu mmoja huyo anaweza akawa mwanandoa mwenzie au mtu mmo

10,000 TZS

Card List Article

Lengo kuu la mwanaume na mwanamke kufunga ndoa ni kuishi pamoja kwa furaha, kushirikiana, kujiletea maendeleo, kupata watoto na kuwalea pamoja hadi hapo kifo kitakapowatenganisha.
Hata hivyo, ndoa nyingi huzongwa na kutoelewana, kwa viwango tofauti,

10,000 TZS

Card List Article

Kusudio la kitabu hiki ni kuweka kumbukumbu ya matukio mbalimbali ambayo, kwa pamoja, yanatengeneza Historia ya
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ambao uliasisiwa mwezi Aprili, 1964.
Matukio muhimu yanayozungumziwa katika kitabu hiki, yameoneshwa

10,000 TZS

Card List Article

Jifunze Ufugaji Bora wa Nguruwe ni kitabu kinachowalenga wafugaji wa nguruwe wa aina kuu tatu zifuatazo:Wafugaji wenye uzoefu mdogo.Wafugaji wa ngazi ya kati wanaoinukia katika ufugaji wa kisasa na wa kibiashara na Wafugaji wakubwa wanaofuga nguruwe

10,000 TZS

Card List Article

Ndugu Pius Bakengera Ngeze (pichani), katika kitabu hiki, Siri ya Binadamu Kuishi Miaka Mingi: Nguzo 72 Zinazoshikilia Uhai Wako, ametumia uzoefu wa umri wake, uandishi na usomaji wa vitabu na machapisho mengine kuwaandikia Wosia binadamu kuhusu jins

15,000 TZS

Card List Article

Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Nyuki ni kitabu kinachotoa maelezo kuhusu jamii ya nyuki, namna ya kuwafuga, kurina asali, utunzaji na uuzaji wa asali na nta

15,000 TZS

Card List Article

Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Samaki ni kitabu kinachotoa mwongozo wa namna ya kufuga samaki kisasa na kibiashara katika mabwawa, matangi,vizimba n.k
Aidha, kitabu kinajadili na kutofautisha aina nne za mifumo ya ufugaji wa samaki.
Samaki ni chanzo c

15,000 TZS

Card List Article

Kitabu hiki kimeandikwa ili kiwasaidie Wakulima, Maofisa Ugani, Wanafunzi na Wanavyuo kuanzisha aina mpya ya kilimo, yaani, Ustawishaji wa Mbogamboga. Kutokana na wingiwa aina za mbogamboga zilizopo, kitabu kimeandikwa kwamuhtasari. Hata hivyo, hatuk

10,000 TZS