Categories: Popular books

Stadi za Kazi Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 6

  • ISBN: 9789987090457x
  • Number of pages: 154 pages
  • Product format: Paperback
  • Publisher: TIE
  • Year published: 2020
  • Availability: In stock
8,000 TZS

Product description

Kitabu hiki ni cha pili katika mfululizo wa vitabu vya Stadi za Kazi ambacho kimeandaliwa mahususi kwa mwanafunzi wa Darasa la Sita. Kitabu hiki kimelenga kukuza umahiri wa stadi za uchunguzi, ugunduzi, udadisi, ubunifu, kusoma, kuandika na kuhesabu.

Qty

Tab Article

Kitabu hiki ni cha pili katika mfululizo wa vitabu vya Stadi za Kazi ambacho kimeandaliwa mahususi kwa mwanafunzi wa Darasa la Sita. Kitabu hiki kimelenga kukuza umahiri wa stadi za uchunguzi, ugunduzi, udadisi, ubunifu, kusoma, kuandika na kuhesabu. Aidha, kitabu hiki kina sura tisa zilizoandaliwa kukidhi mahitaji ya muhtasari wa somo linalohusika. Sura hizo ni: Unadhifu; Utunzaji wa mazingira; Upishi; Ala za muziki; Kumudu misingi ya uigizaji; Picha, vichezeo na uchapaji; Ufinyanzi, ususi na vifani; Stadi za ujasiriamali; na Usimamizi wa fedha. Kitabuhiki kinawasilisha maudhui kwa njia ya habari, picha, kazi za vitendo na mazoezi.

0 reviews for Stadi za Kazi Kitabu cha Mwanafunzi Darasa la 6

Add a review

Your Rating