Product description
Ni katika mwaka wa 1895, Kilihona alipokuwa msichana wa miaka kumi na tatu, tayari “amekwishagunduliwa” na wazazi wenye wavulana kama mchumba wa kufikiria kuposea watoto wao na uzuri wake tayari umetungiwa nyimbo na wacheza enanga vijana wa sehem