Categories: Primary (CBC)

Historia ya Tanzania na Maadili kwa Vitendo Darasa la 3

  • ISBN: 9789976583571
  • Number of pages: 186 pages
  • Product format: Paperback
  • Author: Ape network
  • Publisher: APE Network
  • Year published: 2024
  • Availability: In stock
8,000 TZS

Product description

Hiki ni kitabu cha mwanafunzi kwa darasa la tatu. Kitabu hiki kimezingatia Muhtasari wa somo la Historia ya Tanzania na Maadili kwa shule za msingi Tanzania wa mwaka 2023. Mada za kitabu hiki ni: Historia, urithi na maadili ya Tanzania; Wajibu na hak

Qty

Tab Article

Hiki ni kitabu cha mwanafunzi kwa darasa la tatu. Kitabu hiki kimezingatia Muhtasari wa somo la Historia ya Tanzania na Maadili kwa shule za msingi Tanzania wa mwaka 2023. Mada za kitabu hiki ni: Historia, urithi na maadili ya Tanzania; Wajibu na haki za mtoto; Kuheshimu na kutii sheria; Maarifa na ujuzi wa asili wa jamii; Ushirikiano katika jamii; Uongozi katika familia na ukoo na Uongozi shuleni. Ndani ya kitabu hiki kuna mazoezi ya kutosha kumsaidia mwalimu au mzazi kumpima mwanafunzi; au mwanafunzi kujipima mwenyewe ili aone kama amepata maarifa na ujuzi unaokusudiwa katika mada husika.

0 reviews for Historia ya Tanzania na Maadili kwa Vitendo Darasa la 3

Add a review

Your Rating