Categories: School

Kuandika kwa vitendo Darasa la 1

  • ISBN: 9789976583618
  • Number of pages: 130 pages
  • Product format: Paperback
  • Publisher: APE Network
  • Year published: 2024
  • Availability: In stock
8,000 TZS

Product description

Kitabu hiki kinafundisha umahiri wa kuandika kulingana na muhtasari wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 1 wa mwaka 2023. Kitabu kina mazoezi mengi kwa vitendo. Hivyo, hadi kufikia mwisho, mwanafunzi atakuwa mahiri na mwenye uwezo mkubwa wa kuumba herufi

Qty

Tab Article

Kitabu hiki kinafundisha umahiri wa kuandika kulingana na muhtasari wa Elimu ya Msingi kwa Darasa la 1 wa mwaka 2023. Kitabu kina mazoezi mengi kwa vitendo. Hivyo, hadi kufikia mwisho, mwanafunzi atakuwa mahiri na mwenye uwezo mkubwa wa kuumba herufi na kuandika kwa usahihi herufi, silabi, maneno, sentensi na habari fupi.

0 reviews for Kuandika kwa vitendo Darasa la 1

Add a review

Your Rating