Product description
Kichomi ni diwani inayoakisi mawazo anuwai kutoka kwenye nyanja tofauti za maisha, kama vile uchumi, siasa, utamaduni, ndoa na dini; hususan katika sehemu ya kwanza ya diwani aliyoiita Mashairi ya Mwanzo. Je, ni mawazo gani hayo? Katika sehemu ya pil
..
read more
Kichomi ni diwani inayoakisi mawazo anuwai kutoka kwenye nyanja tofauti za maisha, kama vile uchumi, siasa, utamaduni, ndoa na dini; hususan katika sehemu ya kwanza ya diwani aliyoiita Mashairi ya Mwanzo. Je, ni mawazo gani hayo? Katika sehemu ya pili ya diwani hii aliyoiita Fungueni Mlango, mshairi ameibua swali muhimu linalousakama moyo wake: Maana ya maisha ni nini? Hii ni diwani chokonozi iliyojaa tafakuri zisizoepukika katika maisha yetu.
read less