Categories: Secondary (CBC)

Umahiri katika Kiswahili Kidato cha 1

  • ISBN: 9789912755055
  • Product format: Paperback
  • Publisher: APE Network
  • Availability: Out of stock
12,000 TZS

Product description

Umahiri katika Kiswahili Kidato cha 1 ni kitabu kilichoandaliwa kwa kuzingatia maudhui
ya Muhtasari wa 2023 wa somo la Kiswahili kwa Kidato cha Kwanza. Uandaaji wa
maudhui ya kitabu hiki umezingatia ujenzi wa umahiri kama inavyopendekezwa katika
m

Qty

Tab Article

mtaala wa elimu ulioboreshwa. Kitabu kimehusisha vipengele vifuatavyo vinavyokifanya
kiwe chaguo sahihi kwa kila mwanafunzi wa somo la Kiswahili:
• Kazi za vitendo kumsaidia mwanafunzi kutafakari kuhusu dhana mbalimbali za
lugha ya Kiswahili.
• Mazoezi mbalimbali ili kumpa mwanafunzi nafasi ya kushiriki kikamilifu katika
mchakato mzima wa kujifunza lugha ya Kiswahili.
• Vielelezo vya kumsaidia mwanafunzi kuelewa kwa haraka zaidi dhana
zinazoelezewa katika kitabu.

0 reviews for Umahiri katika Kiswahili Kidato cha 1

Add a review

Your Rating