Card List Article
Michezo na sanaa hupendwa sana na wanafunzi. Michezo na sanaa hufurahisha na kuelimisha. Vilevile, husaidia katika kufundisha masomo mengine. Katika Kusoma, Kuandika na Kuhesabu utatumia sanaa kwa namna mbalimbali.
Michezo iliyomo kitabuni ni miche